Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Kamoja kanatoka wapKamoja ingapendeza zaidi, ili simba warudi Uturuki kutalii
kila la heri chama languView attachment 882490
Hapo safi, timu yetu bado iko imara tutawafunga hawa paka pori wanaojiita simba
Hio droo basDk 87: Simba 0-0 Yanga
Dk 87: Simba 0-0 Yanga
Ila tutafikatuMkuu yaani uchawi leo ndio upo?
Mtawafunga SAA ngapYanga imara
Hahaha usijali mtani kutoka nafasi ya Tano hadi nafasi ya Nne nayo ni Hatua Mtafika tuu😛😛 au matokeo yakibaki hivi mtabaki hapo hapo mtaa wa Tano ?