Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Imani za kishirikina ndizo zinawatesa Simba,hivi Uturuki mlienda kujifunza ushirikinaMkuu leo tulikua tunapamba na Benno + Jeshi la waganga toka Moro
Unaonaje akipewa ya mama yakoInabidi akupe 0713
Simba kwa mpira huu hawata fanyaje? Hahaaaa sijui mheshimiwa alisemajeMmetoa timu uwanjani kama kawaida yenu,mkalileta na Ndugai eti mnajua mtashinda haaaahaaaa
Wapi gentamycine
Yanga kwa mbao bhado ana michezo miwil kwakua n yanga peke ambae amecheza game tano wengne wamecheza game 7 walioweng simba kacheza game 6Ongezea yanga ana mchezo mmoja mkononi
hatuna mganga sisi, tunacheza mpira.Nyie mganga wenu alisemaje
Lazima walale na viatu siku 2 mfululizo.Kwa ushirikina wamekubuhu. Lakini tumewafundisha mpira kucheza..roho juu mwanzo mwisho
Acha matusi najikazaje kwa mfano?Eiish tunapangiana tena simu yangu bundle langu jf pekee ndio kuna mambo ya kupangiana
Mkuu jikaze
Huwa namkubali Masai Bwire na Aden Rage,kesho utasikia shahidi wa Yahiva a K a madevu meupe anafukuzwaHahaaaa
Mshaaza matusi, Simba bwanaUnaonaje akipewa ya mama yako
Yaani yule Mara wameambiwa wapeleke maiti moja kutoka MV nyerere khaaaaaNa nyuzi zake za ramli chonganishi
Malizia hii picha ni kwa hisani ya Tekno WerevaaMbao anaongoza kwa point 14 yanga wa pl 13 View attachment 882529
Wakati mechi inaanza mambo ya ushirikina hayakwepo mmetoa droo mnaanza visingiziohatuna mganga sisi, tunacheza mpira.
Ogopa sana mtu anayeenda kwa mganga aloge upate droo, msingeloga leo ilikua ni mvua kama ile ya 5-0
Kwa ushirikina wamekubuhu. Lakini tumewafundisha mpira kucheza..roho juu mwanzo mwisho
hatuna mganga sisi, tunacheza mpira.
Ogopa sana mtu anayeenda kwa mganga aloge upate droo, msingeloga leo ilikua ni mvua kama ile ya 5-0
Acha matusi najikazaje kwa mfano?
Wasalimieni mtaa wa 5
Chamoto gani?Hawa watu kiboko ila cha moto wamekiona
Saa moja imefikaLeo natabiri
Simba 4
Yanga 2
Tuonane saa1 usiku