TPL: Simba SC vs Yanga SC - Sept 30, 2018 (FT: 0-0)

Kweli uchawi upo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka sana Mtani.

Poleni sana kwa kuwa hata watu ambao hatukuwafikiria kuwa na hizo imani leo mmeamini hivyooo.

Haya na nyie kaufanyeni basi. Teh teh.

πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒeti uchaaaawiiii. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wapi Mtani Ghazwat.
 
Hahahaaa. Wanatapatapa sana hawa jamaa.

Wangeshinda hata kamoja hizi kauli zisingekuwepo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana uwezo huo wa kushinda.Tuna golikipa namba one Tanzania na wachezaji wa kimataifa wanaojua kazi yao,wangeanzaje kutufunga
 
Zikijaga nyuzi za habari ya Uchawi humu kila mtu anasemaga haamini hiyo kitu ila leo asilimia 90 ya mikia wanaamini Uchawi. Teh teh teh.

Ndio mpira ulivyo jamaani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na unamatokeo matatu na pia punguzeni pere pere hasa mnapokutana na Yanga mpira wa watani wa jadi haujawahi tabirika jamaani. Khaaaaaa.

Kikosi bora bongo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mnisamehe Watani zangu tunaoheshimiana. Teh teh.
 
Simba wangefungwa goli moja tu tungezika watu jana
 
Kila timu iliyocheza na Simba angalau ilionesha ushindani, ila Yanga mliifanya Simba kucheza inavyotaka, ni Simba tu wa kujilaumu maana nafasi mliwapa za wazi kwa makosa mliyokuwa mnafanya. Nasubiri mtoke taifa, mtaonana wabaya.
Shauri yako,sisi target yetu ilikuwa droo nyie wenye viwango target yenu ilikuwa ushindi,we ujiulize nani kafeli nani kafauli plan yake

Sent from my Fero L100 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…