Najua unajua ubovu wa kindoki yani leo sina presha kabisa vyura tunawakaanga na mafuta ya alzeti kutoka kwa ndugu zenu wa singidaHebu ukooo. ππ Muache Kindoki wetu. ππππ
Mtani utakimbia maandishi yako ujue.
Mkuu baada ya gemu ya leo, nitarudi kwako kukuthibitishia kuwa nilichokiandika nilikimaanisha.Tatizo mmezoea mipasho albino na Bi Hindu wamewaharibu
Nakupendaga bure mwana yanga mwenzangu yaani chukua bonge la kiss likufikie huko ulikoEwaaaaaaaaa. Wataelewa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa umeongea/umeandika kama Yves Buchana wa BBC swahili katika utabiri wangu pale Ijumaa jioni kwenye Dira ya duniaSidhani kama yanga atakubari kuburuzwa tena mara mbili mfululizi natabiri sare ya moja moja
Chukua juice ya ukwaju ya baridiiiiiiiiiiii nakuja lipa.Leo Askari waweke Ulinzi wa kutosha Simba hawakawii.kung'oa vitiHahahaaa. Eti eeee.
Mie nasema kipigo kwa simba.Teh teh
Mkuu jiandae kisaikolojia kufungwaNaona kindoki kaanza sasa mbona tumeshinda kabla ya kipute.
kindoko = 1 goal
dante = 1 goal
mpaka sasa simba 2 wale wa kuruka ruka 1
Cc Hajar
πππππ wallah vile nimecheka kwa sauti.Nakupendaga bure mwana yanga mwenzangu yaani chukua bonge la kiss likufikie huko uliko
Mkuu Simba ya sasa ni ya Uturuki, kambi tunaweka hoteli ya nyota 5 hivyo hayo mambo tumewaachia nyinyi.. Ndo mana kambi mkaweka Moro, mmerudi Dar mmefikia Manzese.Leo Mvua haijanyesha Simba wanafungwa
Ngoja niwahi Mkuu. ππππChukua juice ya ukwaju ya baridiiiiiiiiiiii nakuja lipa.Leo Askari waweke Ulinzi wa kutosha Simba hawakawii.kung'oa viti
Hahahaaa. Tusubiri tuone MtaniNajua unajua ubovu wa kindoki yani leo sina presha kabisa vyura tunawakaanga na mafuta ya alzeti kutoka kwa ndugu zenu wa singida
Bora Simba ya Pemba siyo hii ya Uturuki.Amini nawambia,jua halitazama kabla Simba hawajang'oa viti taifaMkuu Simba ya sasa ni ya Uturuki, kambi tunaweka hoteli ya nyota 5 hivyo hayo mambo tumewaachia nyinyi.. Ndo mana kambi mkaweka Moro, mmerudi Dar mmefikia Manzese.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waongo hao.[emoji1] [emoji28] View attachment 882379
Ila YANGA tuna mijezi mibaya sana!
Kwetu wameshachukua umeme tanesco. Wana laana sana hawa jamaa[emoji1] [emoji28] View attachment 882379
Saa 12 ntaku replyNaona mmekutana mambumbumbu mnajazana ujinga tu. Time is the best answer, subirini hiyo sa 11. Kambi Morogoro kazi uwanjani hatuna mbwembwe za uturuki wala kufuga mabeberu sisi.
Tambwe akiwakosa leo Ajib hawaachi. Usimsahau Makambo