TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1

TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,203
Reaction score
37,906
TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1!

Mimi siongezi neno hata moja!

Fainali ni Azam Fc v Mtibwa Sugar!
 
Leo Mtibwa wametufundisha mpira.
Namhurumia Mgosi na Kiondo huenda tusiwe nao kwenye benchi msimu ujao.
Simba ina vikosi vitatu kuna Simba B na Simba (U20) ni timu mbili tofauti!
Mgosi ataendelea kuhudumu Simba B kama kawaida

Mtibwa, Azam, alliance wana academy za kufundisha vijana mpira!
Simba, Yanga na wengineo ni ungaunga mwana timu hazikai kambini wanaitana siku za mechi au mazoezi.
 
Safi wako vizuri na watafika mbali kama watatunza nidhamu ya mpira
Zuberi Katwila na Vicent Barnabas wanasema ktk kikosi cha Leo kilichoisasambua SIMBA, kuna wachezaji 6-8 watapandishwa kwenda MTIBWA senior team
 
Hakika vijana wa Mtibwa Sugar wako vizuri. Wametoa somo murua kwetu sisi was Jangwani, maana timu yetu ni kuokoteza okoteza.
 
Aya mashindano ni mazuri kuliko ligi kuu ya wakubwa mpira unachezwa mpaka unatamani usiishe. Kweli Tanzania kuna vipaji.
 
TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1!

Mimi siongezi neno hata moja!

Fainali ni Azam Fc v Mtibwa Sugar!
Acha kujifurahisha dogo. Mikwaju ya penati haindikwi sawa na magoli ya uwanjani. Hujui mpira.
Yanga vs Azam ilikuwa ni sare lakini mikwaju ndiyo 0 - 3

Mikia kala 3 ndani ya mchezo. Note the difference.

Rage tusaidie kutoa elimu.
 
Back
Top Bottom