Leo Mtibwa wametufundisha mpira.TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1!
Mimi siongezi neno hata moja!
Fainali ni Azam Fc v Mtibwa Sugar!
Simba ina vikosi vitatu kuna Simba B na Simba (U20) ni timu mbili tofauti!Leo Mtibwa wametufundisha mpira.
Namhurumia Mgosi na Kiondo huenda tusiwe nao kwenye benchi msimu ujao.
hapa ni vile ushirikina hamna ndo maana!TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1!
Mimi siongezi neno hata moja!
Fainali ni Azam Fc v Mtibwa Sugar!
yule Haule wasimwacheZuberi Katwila na Vicent Barnabas wanasema ktk kikosi cha Leo kilichoisasambua SIMBA, kuna wachezaji 6-8 watapandishwa kwenda MTIBWA senior team
Zuberi Katwila na Vicent Barnabas wanasema ktk kikosi cha Leo kilichoisasambua SIMBA, kuna wachezaji 6-8 watapandishwa kwenda MTIBWA senior team
Acha kujifurahisha dogo. Mikwaju ya penati haindikwi sawa na magoli ya uwanjani. Hujui mpira.TPL U20: AZAM FC 3 YANGA O, MTIBWA 3 SIMBA 1!
Mimi siongezi neno hata moja!
Fainali ni Azam Fc v Mtibwa Sugar!