TPLl; sababu ya kuwa mshabiki wa timu unayoipenda

Mayala masuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
449
Reaction score
795
Nionavyo binafsi,

Mpenda soka yoyote yule ni lazima awe mwanachama au mpenzi wa timu fulani huku pakiwepo na upande pinzani.
ikumbukwe hakuna fomula moja katika kuchagua au kupenda timu utakayokuwa mshabiki wake.

Mathalani mimi wakati naanza kupenda soka nikiwa mdogo, siyo simba wala yanga niliyokuwa mshabiki wake. mimi atakayeshinda ndio timu yangu sikutaka STRESS.

Mambo yalikuja kubadilika baada ya kuwa urafiki na jamaa yangu ambaye tulikuwa na upinzani kuanzia masomoni hadi mziki,sasa yeye alikuwa mshabiki wa simba damu damu. mda wa mechi ukifika jamaa anashangilia kweli timu yake ikipata matokeo mazuri, hapo ndipo mwanzo wangu wa kuwa YANGA SC.

Je, wewe ulianzaje kuwa mshabik wa timu yako?

NB. Upinzani ndio unafanya soka liendelee long live for our tanzanian team simba&yanga.
 
Hizo ni ajira za watu wengine sio wewe , ushabiki ni sawa kabisa na ulevi wa namna nyingine, tena ulevi kama wa viroba, ajira zitokanazo na soccer yaweza kuwa 0.001% ya ajira zitokanazo na elimu, lakini candidates/aspirants wa soccer wako Zaidi ya million 8 hasa kuanzia watoto std 3 na kuendelea wanafukuzia hio fursa/ajira na wanashindwa ku concenstrate kwenye masomo mashuleni na kupoteza kabisa Interest ya kusoma kwa matumaini tu iko siku moja atakuwa mchezaji bora kama Samatta au kukariri ligi ya ulaya na wachezaji wake, kutwa kucha anakusanya data za soccer ili kuweza kuwa SHABIKI BORA MAGENGENI bila kipato chochote na kushindia kahawa tu

Naomba nikuulize tangu wewe umekuwa shabiki wa yanga umeshapata sh ngapi ?

Ugonjwa huu umekithiri sana ukanda wote wa pwani na Morogoro na viungo vyake.

Ni ugonjwa mbaya sana ambao wana siasa wanautumia pia kupumbaza jamii ili wasahau majukumu ya msingi ya maendeleo ili wasiwasumbue (wanawalewesha)

Nitaendelea nikipata muda ngoja nizalishe kwanza wewe endelea kushabikia 24 hrs
 
unaweza ukawa sahihi,lakin si kwa mtazamo ule niliokusudia. ushabiki ni michezo na michezo ni burudani, au na ww nikuulize tangu ww usijihusishe na vitu unaonaga havina maana umekusanya mali kiasi zitakazowiana na kutokupoteza kwako mda, kwa ajili ya vitu unavyovisema havina maana?
 
SAMAHANI NA POLE SANA kama nimekuudhi, Hata nikikwambia huta sadiki wala kuniamini,
mafanikio yeyote ni DISCIPLINE na ALTITUDE nidhamu yako na unavyojali n.k vyote hivyo vinatawaliwa na MUDA , TIMEFRAME mm hapa nlipofika ni baada ya kuupuuza huo ushenzi.

Naburudika sana kama miradi yangu inafanikiwa , biashara zngu zinakua na kuiona faida niliotegemea hadi naiota. sio huo upuuzi hata huwezi pata chochote ukapeleka nyumbani.
 
Silicon Valley "chochote tunachofanya binadamu humu dunia ni upuuzi tu,
ila maono na hekima ndiyo hufanya mambo hayo yaonekane ni ya kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…