TRA Assesment mpya za magari ya 2005 ( uchakavu mpya) zikoje?

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329
wadau niaje?

wadau mlio import magari karibuni na kufanya assesment mwezi huu wa 7 2014 kodi wamezikokotoa vipi?

je sheria ya uchakavu miaka 8 imeshaanza kutumika kwenye assesment zinazofanyika mwezi huu au bado?

tusaidiane mawazo nijipange vp maana passo yangu ya 2005 inaingia nchini next week na sielewi elewi vizuri sheria mpya kodi itakuwa vp
 
Kodi mpya imeanza uchakavu ni 30% la msingi beba document zako nenda tra Customs office watakupa garama halisi kwan CIF wanatumia za kwao ambazo tayar zilishapangwa kwa kila aina ya gar hiyo iliyopo hapo kwenye document huwa hawaitumii.
 
Kwa gari ya 2005 uchakavu ni 15% kwani haijafika miaka kumi
 
Back
Top Bottom