TRA e-Filing system

TRA e-Filing system

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Wakuu habari,

Nini kipo kwenye huu mfumo wa TRA? Yaani system imekua mbovu kwa miezi sasa.

Naombeni solution nyie mnafanyaje kufaili returns zenu?
 
Mkuu usisubirie mpaka tarehe za deadline ndion ufanye uploading ya vat kwa mfano leo, fanya kufile kwenye tarehe 17 huko si mbaya hutokutana na jam kali kama leo,
Nikikwama sana naendaga palepale tra kuwasumbua wanifanyie.
Naona wameongeza siku saba mpaka tarehe 27 mkuu.
 
Ndio maana mimi mtu akinipa hii kazi huwa nacharge smart kweli kweli. Maana ukipewa hii kazi jiandae kukesha au kushinda kutwa nzima kwenye computer maana haujui siku wala saa mtandao utakapokubali. Na ukizubaa tu fine inakubali, ukiwafuata TRA nao wanakujibu kuwa 'hata sisi intusumbua hivyo hivyo kwa hiyo endelea kujaribu..'😂😂😂😂😂
 
Mkuu usisubirie mpaka tarehe za deadline ndion ufanye uploading ya vat kwa mfano leo, fanya kufile kwenye tarehe 17 huko si mbaya hutokutana na jam kali kama leo,
Nikikwama sana naendaga palepale tra kuwasumbua wanifanyie.
Naona wameongeza siku saba mpaka tarehe 27 mkuu.
TRA ipo siku itakaa sawa...Inshallah
 
Usisubiri hadi deadline ndiyo ufanye kuna kuwa na jam sana, anza mapema na ukifanya usiku naona kidogo unasogea tofauti na mchana.
Wametoa extension hadi tar 27 jitahidi sasa
 
Mwezi uliopita niliandaa mahesabu mapema sana, mtandao ukasumbua toka tar 15, nikawachek WhatsApp tar 18, kimya had 20 wakanila kichwa, tar 21 ikakubali kirahisiii, na penalty juu.

Nimesema silipi penalty, nione mwisho wake.

Mwezi huu nime file toka tar 13. Halafu eti wameongeza muda.
 
Hii system haiko poa kabisa, unakesha ukiingiza taarifa mwisho wa siku deadline ikifika unalamba penalt. Sijui kwa nin wasiuboreshe kama mifumo mingine mfano wa Nssf uko standard sana japo n mpya
 
E-Filing ni shida tupu. Kwa wale wanaotoa solution kwamba u-file mapema, siyo sahihi kwa sababu unakutana na shida hizohizo. Mimi nimeshajaribu kuandaa siku za awali na mda wa usiku wa manane; ni yale yale tuu.

Kisheria mtu anaruhusiwa kufile hadi 12h00 ya 20th.

Inashangaa Kamishna halioni hilo na badala yake kuongeza mda kila mwezi anaona ndiyo solution.
 
Habari zenu jamani,naomba kuuliza nimenunua kifaa cha umeme,ila kwenye risiti sehemu ya item imeandikwa PLU je inamaanisha nini iyo PLU,
 
Habari zenu jamani,naomba kuuliza nimenunua kifaa cha umeme,ila kwenye risiti sehemu ya item imeandikwa PLU je inamaanisha nini iyo PLU,
Hiyo item hakuiregister katika kimashine so inaandika plu ambayo ni ile button unabonyeza kukuletea amount kabla ya kubonyeza total button na risiti kutoka.
 
Hiyo item hakuiregister katika kimashine so inaandika plu ambayo ni ile button unabonyeza kukuletea amount kabla ya kubonyeza total button na risiti kutoka.
kwaiyo wataka kuniambia ni risiti halali kabisa haina mashaka yoyote yale
 
Back
Top Bottom