bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
TRA ipo siku itakaa sawa...InshallahMkuu usisubirie mpaka tarehe za deadline ndion ufanye uploading ya vat kwa mfano leo, fanya kufile kwenye tarehe 17 huko si mbaya hutokutana na jam kali kama leo,
Nikikwama sana naendaga palepale tra kuwasumbua wanifanyie.
Naona wameongeza siku saba mpaka tarehe 27 mkuu.
Hiyo item hakuiregister katika kimashine so inaandika plu ambayo ni ile button unabonyeza kukuletea amount kabla ya kubonyeza total button na risiti kutoka.Habari zenu jamani,naomba kuuliza nimenunua kifaa cha umeme,ila kwenye risiti sehemu ya item imeandikwa PLU je inamaanisha nini iyo PLU,
kwaiyo wataka kuniambia ni risiti halali kabisa haina mashaka yoyote yaleHiyo item hakuiregister katika kimashine so inaandika plu ambayo ni ile button unabonyeza kukuletea amount kabla ya kubonyeza total button na risiti kutoka.