Hawa Hiview binafsi nimefanya nao biashara muda mrefu, nimoja ya kampuni ambao wanazingatia sana kutoa efd risiti zinazoendana na uhalisia wa bidhaa ulizonunua.
Ukiwa mteja wao wanachukua particulars zako(JINA,TIN,VRN, location) wanakufungulia akaunti yako kama mteja wao wa kudumu.
Mleta mada inawezekana hii ilitokea kwa sababu haukuwa umesajiliwa kama mteja wao.