Naomba tufikishie kilio chetu sisi maagent wafanyakazi wa TRA ukienda floor namba 10 utakuta foleni kama wanangoja mwendokasi kupata huduma, wakati kuna mfumo upo kwa system ingesaidia kumaliza kero labda kama kuna case ya kuonana.
Hii imepelekea walio na maofisi mbali na One stop center kupata kadhia ya umbali na kama haitoshi kwanini turudi mfumo wa kizamani?
Kwa namna hii hao DP World watakuja kufanya nini kama kazi zenyewe kufatilia manual?