Mtized one
Member
- Jul 27, 2011
- 46
- 7
kwani mwenye njaa na aliyeshiba yupi anaposibility kubwa ya kuiba?if then its true they have to thing twice
Kwani hao wazoefu walizaliwa wakiwa mabingwa wa fraud..??? Hata hao mafresh graduates nao kuna wakati watakuwa hivyoRecently..nimepata taarifa kuwa TRA wanaemploy fresh graduates tu..ikiwa umeaply then kwenye CV umepost working experience basi nikigezo tosha kukuchuja..ikiaminika kuwa wenye working exprc ni mabingwa wa Fraud.....Je hii ni kweli??