sio hiyo tuu kuna nyingine hapa chini
SKENDO YA UKWEPAJI USHURU BANDARINI /BW. SAID HOME SHOPPING CENTER
- Wenye Meli /Wakala wa Meli Shipping line. Owner /DICD Owner:- sheria inapingana na inaeleza wazi watu hawa kutokuwa na leseni za uwakala wa TRA Clearing & Forwarding. KINANA anamiliki makampuni mengi na mengine anahisa kama Diamond Shipping , Sharaf Shipping,PIL Shipping, hapo hapo anamiliki kampuni ya London Freight Clearing and Forwarding Agent.Bwana Said mmiliki wa DICD ya AL HUSHOOM na Home Shopping Center ameiua nchi hii kabisa kwa kigezo kuwa anafanya kazi na Rais je ni kweli?. Alipelekwa na mheshimiwa Luhanjo na Zakia Mengji kutambulishwa TRA na kuanzia wakati huo amekuwa na uwezo wa kufanya chochote kontaina zinatoka hapo bandarini na DICD ni kama Maji amefikia mahali anafuata wateja (importer) anamuuliza analipa shilingi ngapi kutoa kontaina la 20" bandarini akimwambia gharama zangu ushuru na gharama nyingine 20,000,000/= (Milioni ishirini) anamwambia nipe (15,000,000/= milioni kumi na tano) nakuletea kontaina godown kwako.Piteni kariakoo au tuma watu wenu China kwenye ofisi yake Hongkong na Guanzuu mtawakuta wafanyakazi wake. TRA anatoa kontaina sio chini ya mia saba kwa mwezi anatumia kampuni kama saba baadhi ni Exelent , Brigeway, Uno star,Classic Choice na London Freight ukibana moja nyingine inafanya kazi ikitokea ametokea ofisa akazuia kontaina ikilipiwa difference ya ushuru hatalipia Offence kwani kuna mkono wa wakubwa na huyo ofisa atahamishwa wiki hiyo hiyo kwenda sehemu ambayo hautakaa ukutane na kazi ya Said.
Pia kuna utaratibu wa kuajiri
waislam maeneo yote nyeti na vitengo vyote muhimu mpaka sasa baada ya Commisioner aliyekuwepo kufariki bado ajateuliwa mwingine anatafutwa mwenzao.
Deputy Commisioner General ni aliyeshindwa kazi kabisa kazi katika ya
Bank ya Barcklays leo ni Deputy Commissioner anasubiriwa Commisioner General atoke astaafu achukue kiti
ni ndugu yake na Kinana Msomali wa Arusha Bwana Bade Waden. Kwa utaratibu huu huyu
Bwana Said anahakikisha hata gazeti likiandika huyo mwandishi hana kazi alishaandikwa mara moja tu basi alichofanyiwa mwandishi yatosha. Sasa nyie mliojitosa kutetea wananchi wa Tanzania jitoeni. Aliwahi kusema baada ya lile gazeti kutoa taarifa jinsi anavyoshirikiana na TRA kuiba hii ndio kashfa kubwa kuliko ile ya
EPA
Kuna ofisa mmoja aliyewahi kufuatilia kodi ya withholding akahamishwa kesho yake TRA Kariakoo Kipata nendeni pale mtapata majibu au fanyautaratibu wa kupitia wafanyakazi wa TRA wale wote waliokataa kuingia kwenye mchakato wa payroll ya Bwana Said unahamishwa mara moja kwa sasa anatoa shilling 19,000,000 kwa kontaina kwa importer ila haleti document za malipo yoyote kwako anakusambazia kama wewe ni mnunuzi wa hapa hapa wakati wewe ni muagizaji wa kontaina husika.TRA kama kweli wanameno waende kariakoo waulize Documents za bidhaa zilizoko sokoni na kama hawataambiwa wanauziwa na watu wa hapa hapa wawafuate hao waliowauzia wawape document za kuagizia na kulipia ushuru hakuna anayedhubutu.
- Majengo yake yote yakaguliwe yamelipiwa kiasi gani withholding tax.
- Container Zote alizopakia zikaguliwe na timu ya TRA , USALAMA, WABUNGE , WAANDISHI WA HABARI muone maajabu kinachoandikwa kwenye document anazopeleka TRA ni tofauti na kilichopo kwenye kontaina ndio sababu hampi mteja documents za clearance .
Inakadiriwa anachukua zaidi ya
bilioni ishirini kila mwezi kwa wateja ila analipia kama
bilioni tano, bilioni tano analisha vyombo vyote vya dola na TRA,
bilioni tano anasema vinaenda nyumba kubwa ,
bilioni tano za kwake. Hata Police PCB,Usalama wa Taifa hakuna anayedhubutu fuatilia TRA kote utapata majibu yote na wateja wa kariakoo watawaambia ukweli.
- Ita Mkutano wa maagent wa Clearing and Forwarding wote wame
Acha fani zao Clearing and Forwarding wanakua ombaomba.Wakati
Zaidi ya watu laki tano walikuwa kwenye hiyo field.
Taarifa za kuaminika zinasema hata huyu Waziri mpya ameshaing-
zwa kwenye payroll bila kujua.
Habari umepewa juu juu ingia ndani ndani ongea na wamiliki na wafanyakazi wa makampuni ya Clearing , watu wanaoagiza mizigo nje na makontaina , wafanyakazi wa ndani, TRA Customs, wakusanyaji kodi za majengo hasa Kipata Kariakoo wanasema waziwazi anachofanya.
Amemuongeza mwarabu mwingine anaitwa Nurdin ana kampuni ya
Vigwaza ni hatari tupu hapa kazi ni hiyo hiyo yakwake na anasema ana mkono wa Mzee mkubwa mwenye Nchi.
NB:
Unavyopokea e-mail hii kuna kontaina za
SAID zinazokaguliwa ameorothesha (declare)
SOLAR PANEL ambazo hazilipiwi ushuru wakati kuna
PIPI ambazo zinatakiwa kulipiwa
MAMILIONI .
HUYU MTU NI WA KUCHINJA KABISA AU ANYONGWE
Mungu ibariki Tanzania