saaanapoleee
Ndo hilo hilo analo lalamikia mleta madaSiku hizi wanatumia calculator zao zenye bei ya gari likiwa jipya na depreciation rate. Tembelea website yao
Mimi nimeamua kusema kuwa TRA mnatuonea watanzania wenzenu. Nazungumzia ushuru wa magari.
Unakuta gari linauzwa Japan dola 100FOB, nalinunua na kulisafirisha kwa jumla ya dola 1400CIF.
Cha ajabu TRA wanalipandisha thamani kutoka dola 100 hadi 700. kwa nini? eti kuna udanganyifu wa bei! Udanganyifu gani wakati hata kwwny mtandao bei imeandikwa hivo hivo? na bado risiti inaonyesha bei ni dola 100?
Huu kama sio uonevu ni nini jamani?

nchi hii kila mtu kwenye anga zakeWatu ndiyo wanatakiwa kuliona hilo OCt.2015 fanyeni Maamuzi. Siyo mnalialia.
Biashara huru /Biashara kwa Mujibu wa Soko iko wapi.
100 - 700 huku kote ni kukosa binu ya ukusanyaji Kodi.