Sasa sisi tunabidhaa gani ya ndani ya nchi ?Posta haina uwezo wa kufanya hivyo; hizo kodi Import Duty n.k. zipo katika Sheria ya Kodi ingawa zinaumiza na mara nyingine ni kubwa kupita kiasi ila mataifa mengi mara nyingine yanatumika hizi kodi ili kulinda bidhaa zake za ndani...
Sijui kama ni sawa mtu aagize simu moja au Raba pair moja ( ambazo zote hatuzalishi) alipishwe makodi ambayo hata hayalipiki.Posta haina uwezo wa kufanya hivyo; hizo kodi Import Duty n.k. zipo katika Sheria ya Kodi ingawa zinaumiza na mara nyingine ni kubwa kupita kiasi ila mataifa mengi mara nyingine yanatumika hizi kodi ili kulinda bidhaa zake za ndani...
Ndio maana nikasema kupandisha au kushusha Kodi sio suala la Posta; wala hizo kodi haziendi Posta ni Serikali ndio inakusanya; Hata ukishusha Kodi haitasaidia Posta per Se... sababu watu wanatumia kina DHL n.k. kutokana na Ufanisi wao, Hivyo basi kushusha hizi kodi kutatusaidia wanunuzi sawa ila huenda bado nisitumia Posta nikatumia DHL....Sijui kama ni sawa mtu aagize simu moja au Raba pair moja ( ambazo zote hatuzalishi) alipishwe makodi ambayo hata hayalipiki.
Kupanga ni kuchangua;
Uweke kodi zinazolipika na kufufua shirika la posta lililo ajiri watu kwa mamia wanao lipa kodi na pia kurahisishia wananchi maisha
au uweke kodi zisizolipika, wafanyakazi wa posta kwa mamia wakose ajira na pia Nchi ikose Kodi kwa mamilioni
mwisho: Hizo kodi zimewekwa na watu hivyo zitaondolewa/badilishwa na watu
Posta ina miundo mbinu mingi na iliyotapakaa pote Nchini tofauti na shirika lingine lolote.Ndio maana nikasema kupandisha au kushusha Kodi sio suala la Posta; wala hizo kodi haziendi Posta ni Serikali ndio inakusanya; Hata ukishusha Kodi haitasaidia Posta per Se... sababu watu wanatumia kina DHL n.k. kutokana na Ufanisi wao, Hivyo basi kushusha hizi kodi kutatusaidia wanunuzi sawa ila huenda bado nisitumia Posta nikatumia DHL....
Posta ina miundombinu within the Country; DHL; UPS FEDEX ni Kampuni Worldwide... Na hata ndani huduma mbovu za Posta ndio zinapelekea watu kutokuwatumia, mtu yupo radhi ampe bahasha Konda kwenye gari na sio kuwatumia Posta; DHL wanafast delivery unaweza ukapata mzigo 3-5 working days, kumbuka ukituma mzigo through Posta unapitia Postal Company ya nchi ile alafu ndio inatumwa kwa Posta ya nchi yako..., In kina DHL ni Door to Door tofauti na PostalPosta ina miundo mbinu mingi na iliyotapakaa pote Nchini tofauti na shirika lingine lolote.
Hayo mashirika meengi ya DHL, UPS, FEdex na wengine yameanzishwa baada ya kuona kuna fursa (gap)
Namaanisha kodi zikiwa rafiki ushindani utabaki kwenye utoaji wa huduma na wafanyakazi waaminifu. kwa kuwa Posta ina miundombinu tayari bei zake automatically zitakuwa nzuri/rafiki na hayo ya huduma nzuri wamenza kubadilika hivyo wanahitaji kuwezeshwa