hamna taasisi duniani imewahi kubadili vyombo vyake vya kukusanya kodi kuwa jeshi. Unajua msingi wa kuanzishwa kwa jeshi?1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi.
2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu.
3. Wafanyakazi wote TRA waende kozi ya awali ya ukakamavu.
4. Kamishna Mkuu TRA ateuliwe toka vikosi vya Ulinzi na Usalama JW, KMKM au JKU.
Mawazo ya watu wa CCM ni ya kijinga snhamna taasisi duniani imewahi kubadili vyombo vyake vya kukusanya kodi kuwa jeshi. Unajua msingi wa kuanzishwa kwa jeshi?
Hoja mfu kabisa, kuna taratibu na vigezo. Hiko sio kikundi cha ulinzi unaanzisha hovyo hovyoHuitaji kuiga kila kitu toka kwingine. Kwani CCM kuprint fomu moja ya mgombea Urais wameiga toka wapi?
Hoja mfu kabisa, kuna taratibu na vigezo. Hiko sio kikundi cha ulinzi unaanzisha hovyo hovyoHuitaji kuiga kila kitu toka kwingine. Kwani CCM kuprint fomu moja ya mgombea Urais wameiga toka wapi?
Utake usitake CCM ndo mshindiDuuh haya mambo yangekuwa yanazungumzwa wakati wa Magufuli ungesikia Dikteta uchwara.
Ila kwakua ni awamu yao basi ni sawa tu.
Hapa wanatuzuga wapo serious kwakua tunakaribia uchaguzi tukishawarejesha waendelee kutupiga.
NakaziaNyie UWT hamnaga akili kabisa
Salute!1. Hii Migomo inaonyesha wafanyabiashara Kariakoo na kwingineko wanaleta mchezo kwenye kulipa kodi.
2. Inafaa Sasa TRA libadilishwe kuwa Jeshi Usu kama taasisi za Maliasili, Misitu.
3. Wafanyakazi wote TRA waende kozi ya awali ya ukakamavu, ujasiri na Nidhamu.
4. Kamishna Mkuu TRA ateuliwe toka vikosi vya Ulinzi na Usalama JW, KMKM au JKU.
**Ikibidi mtalipa Kodi Kwa shuruti.