Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Kuna kitu naeza ita ni upuuzi au uzembe uliopitiliza. Nina mwezi sasa nafanya online TIN aplication lakini mtandao unasumbua. Kila nikifanya naambiwa failed to retrive data. Nimeenda ofisi zao labda naweza kupata msaada cha ajabu wananiambia hawawezi kunisaidia maana mtandai uko chini.
Hii kitu ina kera sana. Yani mwezi mzima mtandao unakua wa kuvizia? Kama hamkujiandaa kuingia kwenye digital basi mngetuacha kulekule kwenye analogy tukawa tunafanya manual applications.
Mnakera, mnakera, mnakera