Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Aisee nimekereka sana. Yani mwez mzima mtandao unasumbua? Alaf kuna watu wa IT wanalipwa mishahara. Bad enough they dont have alternative means of solving this minor problem. Ujinga ujinga tuHuwezi kuwatenganisha TRA na ubabaishaji/ubwenyenye. Wanapenda sana mteja uwafuate ofisini kwao na kupanga foleni.
Hebu fikiria hata contol number ya kulipia kodi, na ambayo wangeweza kukutumia kupitia sms; unatakiwa kwenda kuichukua ofisini kwao. Ukijisahau, ukachelewa kulipa hoyo kodi hata kwa siku kadhaa! watakutishia au hata kukupiga kabisa penati!
Chama dhaifu na utawala usiokidhi viwango ndio chanzo cha yote haya.Kuna kitu naeza ita ni upuuzi au uzembe uliopitiliza. Nina mwezi sasa nafanya online TIN aplication lakini mtandao unasumbua. Kila nikifanya naambiwa failed to retrive data. Nimeenda ofisi zao labda naweza kupata msaada cha ajabu wananiambia hawawezi kunisaidia maana mtandai uko chini.
Hii kitu ina kera sana. Yani mwezi mzima mtandao unakua wa kuvizia? Kama hamkujiandaa kuingia kwenye digital basi mngetuacha kulekule kwenye analogy tukawa tunafanya manual applications.
Mnakera, mnakera, mnakera