wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Aug 22, 2017 #21 elmagnifico said: Magari ya taasisi za kiserikali uwa ni tax free Click to expand... Sasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za nini
elmagnifico said: Magari ya taasisi za kiserikali uwa ni tax free Click to expand... Sasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za nini
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Aug 22, 2017 #22 white wizard said: Ulishawahi kuona hata gari lolote la serikali lina sticker yoyoye iwe ya TRA au bima?? Click to expand... Yapo kibao chunguza vizuri mkuu utaona
white wizard said: Ulishawahi kuona hata gari lolote la serikali lina sticker yoyoye iwe ya TRA au bima?? Click to expand... Yapo kibao chunguza vizuri mkuu utaona
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,261 Reaction score 9,733 Aug 22, 2017 #23 wa stendi said: Sasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za nini Click to expand... Hakuna kitu kama hicho ndiyo maana ukinunua gari la serikali unaenda lipia ushuru ambao halikuwahi lipa
wa stendi said: Sasa mbona zile stika za vibali wanazibandika hapo za nini Click to expand... Hakuna kitu kama hicho ndiyo maana ukinunua gari la serikali unaenda lipia ushuru ambao halikuwahi lipa