TRA Kulikoni server ipo chini ni Aibu. Kazi tunajaza vp?

TRA wametangaza kazi kupitia domain yao https://tra.go.tz/ lakini tangu jana ipo chini.
Nashangaa sana kwanini wanafanya hivyo na ni Aibu. Pitia hapa IIS Windows Server ujionee.

Hizi kazi tangu 6/6 napambana kujaza nashindwa. Waongeze muda Asee.

Wengine tumeshindwa kujaza kazi.
TRA anayehusika na mitandao hafai kuwa na kazi.

Mwanzo wa mwaka 2022 kuna kitu nilikuwa nafuatilia, mtandao wao ulikuwa down kwa wiki nzima ya kwanza.

Imagine mtu anataka kuja kuwekeza anafuatilia habari za kodi.
 
Hao sio kazi hata mtandao wa malipo unakua chini pana muda unaweza kusubiri siku kadhaa uwe sawa ndio uweze kulipa...
 
Mwanzo wa mwska 2022 kuna kitu nilikuwa nafuatilia, mtandao wao ulikuwa down kwa wiki nzima ya kwanza.

Imagine mtu anataka kuja kuwekeza anafuatilia habari za kodi.
Aibu sana na ndio gateway ya mapatoo nchini. Aseee!!!
 
Nafasi zishajaa dogo... Hadi sasa application 2.1M zishapokelewa jaribu tena Mwakani hata tukioacha open Raia watashindwa kulogin kwa issues zingine
 
Hao sio kazi hata mtandao wa malipo unakua chini pana muda unaweza kusubiri siku kadhaa uwe sawa ndio uweze kulipa...
Wangeacha hizi kazi kule Ajiraportal. Hizi kazi janja janja zitakuwa nyingi sana kama mtandao wenyewe ndo hiviii. Saad!
 
Nafasi zishajaa dogo... Hadi sasa application 2.1M zishapokelewa jaribu tena Mwakani hata tukioacha open Raia watashindwa kulogin kwa issues zingine
Sawa Kubwaa!
 
TRA anayehusika na mitandao hafai kuwa na kazi.

Mwanzo wa mwaka 2022 kuna kitu nilikuwa nafuatilia, mtandao wao ulikuwa down kwa wiki nzima ya kwanza.

Imagine mtu anataka kuja kuwekeza anafuatilia habari za kodi.
Kwa TRA hiyo mbona kawaida sanaaa,
 
Ndio mana me nlishtuka mapema tu zile siku za kwanza kabisa nikamwambia mdogo wangu a apply niliyajua haya, deadline ishafika kwani?
 
Kuna mdau kashaeleza tayari watu wanafanya maksudi ili wafanye mambo yao.
 
TRA wametangaza kazi kupitia domain yao https://tra.go.tz/ lakini tangu jana ipo chini.
Nashangaa sana kwanini wanafanya hivyo na ni Aibu. Pitia hapa IIS Windows Server ujionee.

Hizi kazi tangu 6/6 napambana kujaza nashindwa. Waongeze muda Asee.

Wengine tumeshindwa kujaza kazi.
Ndugu Wananchi , nafasi za ajira tulizozitangaza zilitaka watu waombe kuanzia tarehe 27 Mei 2023 hadi 9 Juni 2023.Waombaji waliweza kufanikiwa na maswali waliweza kujibiwa kupitia kituo chetu cha huduma kwa wateja na kueleweshwa vizuri namna ya kuwasilisha maombi yao.Siku 14 zilitosha kwa waombaji kutimiza azma yao na idadi ya waombaji inaridhisha.Tunashauri siku zijazo waombaji watume maombi yao mapema kuliko kusubiri siku ya mwisho. Asanteni.
 
Back
Top Bottom