TRA anayehusika na mitandao hafai kuwa na kazi.TRA wametangaza kazi kupitia domain yao https://tra.go.tz/ lakini tangu jana ipo chini.
Nashangaa sana kwanini wanafanya hivyo na ni Aibu. Pitia hapa IIS Windows Server ujionee.
Hizi kazi tangu 6/6 napambana kujaza nashindwa. Waongeze muda Asee.
Wengine tumeshindwa kujaza kazi.
Aibu sana na ndio gateway ya mapatoo nchini. Aseee!!!TRA anayehusika na mitandao hafai kuwa na kazi.
Mwanzo wa mwska 2022 kuna kitu nilikuwa nafuatilia, mtandao wao ulikuwa down kwa wiki nzima ya kwanza.
Imagine mtu anataka kuja kuwekeza anafuatilia habari za kodi.
Link ni hiiTRA wametangaza kazi kupitia domain yao https://tra.go.tz/ lakini tangu jana ipo chini.
Nashangaa sana kwanini wanafanya hivyo na ni Aibu. Pitia hapa IIS Windows Server ujionee.
Hizi kazi tangu 6/6 napambana kujaza nashindwa. Waongeze muda Asee.
Wengine tumeshindwa kujaza kazi.
Kwa TRA hiyo mbona kawaida sanaaa,TRA anayehusika na mitandao hafai kuwa na kazi.
Mwanzo wa mwaka 2022 kuna kitu nilikuwa nafuatilia, mtandao wao ulikuwa down kwa wiki nzima ya kwanza.
Imagine mtu anataka kuja kuwekeza anafuatilia habari za kodi.
Ipo kwenye tangazo lao la kaziLabda kama mmepeana Link mpya. Hhiyo link juu ndo nimetumia toka registration.
Haya Hongereni.
Ndugu Wananchi , nafasi za ajira tulizozitangaza zilitaka watu waombe kuanzia tarehe 27 Mei 2023 hadi 9 Juni 2023.Waombaji waliweza kufanikiwa na maswali waliweza kujibiwa kupitia kituo chetu cha huduma kwa wateja na kueleweshwa vizuri namna ya kuwasilisha maombi yao.Siku 14 zilitosha kwa waombaji kutimiza azma yao na idadi ya waombaji inaridhisha.Tunashauri siku zijazo waombaji watume maombi yao mapema kuliko kusubiri siku ya mwisho. Asanteni.TRA wametangaza kazi kupitia domain yao https://tra.go.tz/ lakini tangu jana ipo chini.
Nashangaa sana kwanini wanafanya hivyo na ni Aibu. Pitia hapa IIS Windows Server ujionee.
Hizi kazi tangu 6/6 napambana kujaza nashindwa. Waongeze muda Asee.
Wengine tumeshindwa kujaza kazi.