TRA: Kutumia "plate number" ambazo hazijatolewa na mamlaka za Serikali au TRA ni kosa kisheria

Nimekuta gari ina namba mfano wa hizo sijaelewa kwamba mtu anafyatuaje namba kama hizo na zina nembo kabisa ya bendera ya Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…