Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 221
- 542
Kupitia mfumo mpya wa kuomba leseni za undeshaji magari, mambo yanaonekana kuwa magumu badala ya rahisi. Unapohitaji leseni kwajili ya kuendesha magari ya abiria na mitambo inakupasa kuhudhuria chuo kilichothibitishwa na serikali, baada ya kutoka chuo, unaenda police kitengo cha usalama barabarani, unawapatia copy ya leseni yako ya awali, barua ya maombi ya kupewa madaraja uliyosomea na copy ya cheti cha kuhitimu mafunzo ya udereva kutoka chuo uliposoma.
Baada ya hapo unatoka kuelekea TRA mpaka hapo process inakuwa ni nzuri ila unapofika TRA, unasajiliwa kwenye mfumo na kulipia madaraja uliyoomba, kila daraja lina gharimu 13000, cha kushangaza ni kwamba badala ya kulipia 39000 kwa madaraja 3, mfumo unataka ulipe 30000 kwa madaraja matatu alafu ukae siku 30 ndio uweze kulipia iyo 90000 iliyobaki, baada ya hapo sasa unaweza kulipia leseni shillingi 70000 na kusubiri tena mpaka pale utapopewa leseni.
Sasa kama lengo la mfumo ilikuwa ni kurahisisha mchakato mzima, kulikuwa na umuhimu gani wa mtu kusubiri siku 30 Ili kulipia iyo elfu 9 wakati ilikuwa ni rahisi tu mtu kulipa 39000 akaongeza gharama za leseni ambayo ni 70000 jumla 109000 ndani ya 2 hours au basi 24 hours mtu anachukua leseni yake?
Je hivi ndivyo mlivyopanga mfumo ufanye kazi au that is just what happened baada ya nyie kutengeneza mfumo??