TRA mmeanza kudai kodi kwa kunyang'anya biashara kama miaka ya nyuma? Ref. Mama Bonge

TRA mmeanza kudai kodi kwa kunyang'anya biashara kama miaka ya nyuma? Ref. Mama Bonge

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani.

Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania wenzenu tumieni akili kushauri vyanzo vingine lakini si kwa namna hii.
 
Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani.....hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania wenzenu tumieni akili kushauri vyanzo vingine lakini si kwa namna hii
Naona TRA wamshindwa kugndua na kuchochea wananchi ktk swala la zima la biashara ili wao wapate mapato.
 
Kwa hiyo TRA hawataki wapatikane mabilionea ambao ni wazawa, wajaribu japo kushirikisha ubongo kidogo.......wasitafute sifa za kijinga kwenye media.
 
Naona mmetumwa, mmeshapewa chenu kumtetea jambazi. Hamuoni hata haya? Shenztype
Kwa hiyo mtu akitoa maoni ambayo ni tofauti na yaliyo kwenye fuvu lako lililojaa kamasi anaonekana adui, siyo? vipi wale magabachori nao mnawakamata kama hawa wazawa, au wao wanatoa mlungula mrefu kidogo?
 
Kafanye kazi we kenge Acha kutetea wezi. Utakuja kuolewa ht na wanaume kwa hzo tabia zako.
 
Kwenye nyeupe yuwe tunakubali nyeupe na kwenye weisu pia tuwe tunasema nyeusi. Mimi kwa mtizamo wangu sioni kosa lolote TRA walilofanya kama kweli mtu alisema mzigo siyo vitenge na vimekutwa vinashushwa vitenge ni udanganyifu. Pia ukiangalia sheria zinasema magendo yakikamatwa yanataifishwa na kuuzwa ili kukomboa kodi. Hapa je vilivyokamatwa ni vitenge au siyo vitenge? Mimi kinaniumiza kuona nalipa kodi huku wengine wakikwepa na tunaona sawa tu.niwapongeze TRA ila niwaombe wazidi kuboresha eneo hili la magendo ili kuziba mianya yoye ya ukwepaji wa kodi
 
Mtoa mada atakuwa na nasaba na Diblo Dibala,siyo bure.
Mkuu uliahidiwa kushonewa suti ya kitenge na Mama Bonge nini?
 
tra tunawaonea bure magendo yakipita kelele wakifanikiwa kamata kelele pia sasa lipi kwao jema . mimi wakikamata naona sawa maana inakera kuona mtu anakwepa kodi halafu kesho tunalalamika barabara hamna
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jana mama bonge alihojiwa na kipindi cha redio fulan pamoja na huyu mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi.ukiwasikiliza ilionesha kabisa Tra walimuonea huyu mama bonge.maana huyo dg alianza kujiumauma tu na kuomba msamaha kama tra walikosea kwa mama bonge.
 
Hivi kweli mtu kukwepa kodi ndiyo kuonewa kweli? Du nilimsikiliza huyo mkuu toka TRA na alichosema ukaguzi ni kitu cha kawaida kujiridhisha passport kumuonea mtu sasa wewe mtu kakutwa na vitenge ambavyo hakusema ukweli ndiyo kuonewa.Nenda kaulize bei ya kitenge.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom