Naona TRA wamshindwa kugndua na kuchochea wananchi ktk swala la zima la biashara ili wao wapate mapato.Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani.....hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania wenzenu tumieni akili kushauri vyanzo vingine lakini si kwa namna hii
Naona mmetumwa, mmeshapewa chenu kumtetea jambazi. Hamuoni hata haya? ShenztypeKwa hiyo TRA hawataki wapatikane mabilionea ambao ni wazawa, wajaribu japo kushirikisha ubongo kidogo.......wasitafute sifa za kijinga kwenye media.
Kwa hiyo mtu akitoa maoni ambayo ni tofauti na yaliyo kwenye fuvu lako lililojaa kamasi anaonekana adui, siyo? vipi wale magabachori nao mnawakamata kama hawa wazawa, au wao wanatoa mlungula mrefu kidogo?Naona mmetumwa, mmeshapewa chenu kumtetea jambazi. Hamuoni hata haya? Shenztype
Kafanye kazi we kenge Acha kutetea wezi. Utakuja kuolewa ht na wanaume kwa hzo tabia zako.Kwa hiyo mtu akitoa maoni ambayo ni tofauti na yaliyo kwenye fuvu lako lililojaa kamasi anaonekana adui, siyo? vipi wale magabachori nao mnawakamata kama hawa wazawa, au wao wanatoa mlungula mrefu kidogo?
Sawa mama, naona umekunwa barabara...Kafanye kazi we kenge Acha kutetea wezi. Utakuja kuolewa ht na wanaume kwa hzo tabia zako.
Hivi kweli mtu kukwepa kodi ndiyo kuonewa kweli? Du nilimsikiliza huyo mkuu toka TRA na alichosema ukaguzi ni kitu cha kawaida kujiridhisha passport kumuonea mtu sasa wewe mtu kakutwa na vitenge ambavyo hakusema ukweli ndiyo kuonewa.Nenda kaulize bei ya kitenge.Jana mama bonge alihojiwa na kipindi cha redio fulan pamoja na huyu mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi.ukiwasikiliza ilionesha kabisa Tra walimuonea huyu mama bonge.maana huyo dg alianza kujiumauma tu na kuomba msamaha kama tra walikosea kwa mama bonge.