TRA mnachangia kumchonganisha mgombea wetu na wafanyabiashara. Mikoa yote mnatangaza mitaani kwa vitisho Sept. 30 mwisho kulipa kodi bila faini

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
158
Reaction score
361
Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na TAL.

TRA mngejifunza kwa Tume ya Ajira ambao wametangaza ajira 13,000 japo ni kwa walimu tu baada ya TAL kusema Serikali hii haiajiri.
 
Natafuta ajira, hivi hizi 13,000 ni kweli au ndio kutuzuga tupige kura kwanza?
 
Waliomba wamesha zidi 100,000 kazi kweli kweli walio baki 87,000 kura kwa....................ni yeye
 
Heeee!! Hiyo ya TRA, ipo kwa mujibu ya sheria kwa hiyo unataka waache kuweka hiyo deadline? Au kwakuwa mmezoea siasa za kilaghai? Kama leo meko anadai kuwa eti vitambulisho vya wamachinga sio lazima kuwa nacho!!! Wakati hadi kuna ma RCs, walifukuzwa kazi kisa hivyo vitambulisho!!
 
Heeee!! Hiyo ya TRA, ipo kwa mujibu ya sheria kwa hiyo unataka waache kuweka hiyo deadline? Au kwakuwa mmezoea siasa za kilaghai? Kama leo meko anadai kuwa eti vitambulisho vya wamachinga sio lazima kuwa nacho!!! Wakati hadi kuna ma RCs, walifukuzwa kazi kisa hivyo vitambulisho!!
 
Ukimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na TAL.

TRA mngejifunza kwa Tume ya Ajira ambao wametangaza ajira 13,000 japo ni kwa walimu tu baada ya TAL kusema Serikali hii haiajiri.
😂😂😂😂 CCM mtajua hamjui mwaka huu!! Huyo ndo Tundu Lissu
 
Bwashee Tundu Lissu ana wachanganya kweli kweli sidhani kama mnapata usingizi

Kumbe wewe bado hujajua kwamba TunduLissu tayari kesha poteza, ndiyo maana Magufuli kagundua hana mshindani yuko ofisi anachapa kazi kama kawaida. Lissu siyo mgombea bora wananchi wamesha shtuka wanakwenda Magu mpaka chamwino
 
Jitekenye na kujichekesha
 
Kumbe wewe bado hujajua kwamba TunduLissu tayari kesha poteza, ndiyo maana Magufuli kagundua hana mshindani yuko ofisi anachapa kazi kama kawaida. Lissu siyo mgombea bora wananchi wamesha shtuka wanakwenda Magu mpaka chamwino
Taarifa .kafa
 
Back
Top Bottom