Waliomba wamesha zidi 100,000 kazi kweli kweli walio baki 87,000 kura kwa....................ni yeyeNatafuta ajira, hivi hizi 13,000 ni kweli au ndio kutuzuga tupige kura kwanza?
Waliomba wamesha zidi 100,000 kazi kweli kweli walio baki 87,000 kura kwa....................ni yeye
Ni Yeye TID!Hakika Ni YEYE...
Bwashee Tundu Lissu ana wachanganya kweli kweli sidhani kama mnapata usingiziNi Yeye TID!
Natafuta ajira, hivi hizi 13,000 ni kweli au ndio kutuzuga tupige kura kwanza?
ππππ CCM mtajua hamjui mwaka huu!! Huyo ndo Tundu LissuUkimsikiliza Tundu Lissu anavyowasema TRA kubambikizia wafanyabiashara kodi zisizolipika. Halafu TRA hao hao mikoa yote wanapita na magari ya matangazo wakitoa mkwara mzito wa kuanza kwa faini baada ya Septemba 30 bila shaka utajua wako kazini kwa kuongeza kuni kwenye chuki iliyotengenezwa na TAL.
TRA mngejifunza kwa Tume ya Ajira ambao wametangaza ajira 13,000 japo ni kwa walimu tu baada ya TAL kusema Serikali hii haiajiri.
Bwashee Tundu Lissu ana wachanganya kweli kweli sidhani kama mnapata usingizi
Sound za kampeniNatafuta ajira, hivi hizi 13,000 ni kweli au ndio kutuzuga tupige kura kwanza?
Jitekenye na kujichekeshaKumbe wewe bado hujajua kwamba TunduLissu tayari kesha poteza, ndiyo maana Magufuli kagundua hana mshindani yuko ofisi anachapa kazi kama kawaida. Lissu siyo mgombea bora wananchi wamesha shtuka wanakwenda Magu mpaka chamwino
Taarifa .kafaKumbe wewe bado hujajua kwamba TunduLissu tayari kesha poteza, ndiyo maana Magufuli kagundua hana mshindani yuko ofisi anachapa kazi kama kawaida. Lissu siyo mgombea bora wananchi wamesha shtuka wanakwenda Magu mpaka chamwino