TRA mnada online magumashi

VAPS

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5,610
Reaction score
13,168
Habari wakuu nime register online kadiri maelekezo ila hakuna responce. Nawashauri wasogeze mbele tarehe wajipange upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetumia website gani kujisajili mkuu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kweli magumashi..... Hata mimi nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa register though nilifanya kila kitu kilichohitajika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kufanya registration tu imegoma. Website lao lipo ovyo sana. Sijui hiyo minada kufanya in real time online watawezaje!

Sent from my Redmi Note 4 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna la maana..IT wao feki kabisa..siku 3 nahangaika na registration inagoma..sehemu ya password yani hikubali...daah IT wa bongo bado sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kuwadhalau IT wa bongo, system inaweza kuwa na weakness ila sio kiasi cha kuwadharau wa TZ wenzio.

Hapo nlichoelewa ni wewe ndio hujaelewa maana ya vitu wanavyovitaka katika password yako ndio maana unafeli
Wanataka vitu vifuatavyo katika password yako
Angalau kuwe na
1. herufi kubwa moja AAAAA
2. Namba ziwepo 1234567890
3. Herufi ndogo ziwepo aaaaaa
4.Symbols ziwepo *#"&😡'#*"\_/-'!?;
5. Herufi ziwe jumla 10

Mfano wa aina ya password
TANZAnia1961#*

Hizi password zinatumika siku hizi kwa mujibu wa maboresho ya online security policy katika mitandao mbalimbali ikiwemo google, Microsoft nk

Jaribu kwa mfumo huo na sio kukaa unalaumu tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…