mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 901
- 1,742
TRA shughulikieni suala la mtandao mnachofanya ni upumbavu wa hali ya juu, ofisi zenu zote muda wa kazi hakuna mtandao hasa siku za malipo ila kuanzia saa 11 jioni mnarudisha mtandao.
Basi fanyeni kazi 24hrs hapo hapo huyu mliyemzimia mtandao akija alipe mnampiga penati za kufa mtu mnafikiri mlipaji ataacha kuiba ili afidie hizo penati?
Kuweni na akili.
Basi fanyeni kazi 24hrs hapo hapo huyu mliyemzimia mtandao akija alipe mnampiga penati za kufa mtu mnafikiri mlipaji ataacha kuiba ili afidie hizo penati?
Kuweni na akili.