amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Mnamo tarehe 4 June nililipia sh 70,000 kwa ajili ya driving licence, nikaambiwa nitatumiwa ujumbe mfupi wa maneno nikaifate.
Hadi leo tarehe 30 June sijapata huo ujumbe katikati hapo nilienda kufatilia wakaniambia mashine ya kuprint imeharibika. Ina mana mpaka leo mashine imeharibika?au kuna tatizo jingine mie sifahamu.Naombeni mnisaidie katika hili.
Nimeambatanisha na message ya malipo .
Malipo yamekamilika, Kiasi TSh 70,000 kwenda TRA-Commissioner for Domestic Revenue.
Namba ya malipo: 998417...
3. Jina: ............
Salio jipya: TSh 2,520. Ada: 1,000. VAT TSh 153. Muamala: 16819667. 04/06/22 10:34.