TRA na ada za mabango

Sasa huu ndo upumbavu kabisa yaani
 
Malori mengi yamefuta mabango
Kuanzia Azam hadi Azania

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kodi kubwa kwenye magari hazisaidii Azam Mlipa kodi mkubwa gar ya bidhaa zake ina tofauti gani na alama ya biadhaa kwenye kifungashio chake? mfano gunia la unga linakuwa na nembo ya Azam je TRA utachaji kuwa lile tangazo la biashara hilo gunia la kubeba huo unga? gari ya Azam mfano haina tofauti na gunia limebeba unga wake unamchachije kodi kwenye bebeo lake? TRA kuna shida.Nimeona kampuni nyingi zimeondoa matangazokwenye magari yao tena kubwa
 
Kuna mtu wa ndani azam niliongea nae anasema azam alikuwa analipa kwa almashauri kodi ya mabango b13-20b walivyokuja kuhamishiwa tra wakatakiwa kulipa b50-80 wakakayafuta na kununua turubai nyingine..
Huo ni uhujumu uchumi wa wazi kabisa wamefanya kutoka kupata bilioni 13-20 hadi zero aisee.Kukusanya mapato gani huko.kunakofuta kabisa hata yaliyokuwepo?
 
Mitano tena.
 
wasomi wa nchi hii ni mazuzu
 
Fanyeni social media marketing achaneni na sarakasi za TRA.
 
labda nikusaidie mleta mada....kwanza kodi zote za mabango zilikuwa zinakusanywa na manispaaa....baada ya uchaguzi zilitakiwa kulipwa TRA....then 2021 zimerudishwa manispaa.....nenda manispaa utapewa na tangazo la gazeti likiwa na terehe iliyopitishwa ni manispaa.....kila manispaa ina bei zake na kuna lenye taa ambalo ni 24hrs na lisilo na taa.....so hapo utapata maelekezo vema.....yes mabango yana faida tena kubwa....unawekeza once, municipal fee ni per annual.....na wewe unamchaji mteja per month...rate za mteja inategemea wapi na wapi....mean bango liko eneo gani.........ishu ni kwamba...bango liwe na mteja au la....municipal wanaai chao.....ndio maana unaona mengi yanaondolewa..but one mteja kapatikana linachipua kama uyoga.....am in that industry for long...nasema kwa uzoefu kabisa.....
 
Magu akimaliza muda wake hii TRA ivunjwe kabisa isiwepo kitafutwe chombo kipya kabisa kitakachoweza kudeal na mapato kwa namna nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soon wataanza kukata kodi kwa wote wanaomiliki smartphone.
Jana Ndugulile alikua analalama mapato ya kupiga simu nje yamepungua kwa kuwa watu wanatumia skype na watsap calls. Wanawaza namna ya kucontrol watsap calls hahahh
 
Unadhani hajui hilo?!

Anajua sana. Kinachoendelea hapa ni maamuzi kamili yanayolenga kitokee kinachotokea. Yaani wameamua sisi kutukomoa.... Ili wao wapate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Lob
Hakuna hata haja ya kulipisha mabango kwenye magari, kwani magari yanalipa kodi, na hizo bizaa zinalipa kodi, unampa unafuu wa huyo wenye bizaa kupata wateja, ili aweze kulipa kodi , hawafikirii hawa watu kabisa.
Double taxation. Malighafi inachapwa kodi, gharama za ubebaji kuna kodi, kiwanda kina kodi, products zinakodi, zikifika dukani kuna kodi..... So its double taxation happening.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Lob
Unadhani hajui hilo?!

Anajua sana. Kinachoendelea hapa ni maamuzi kamili yanayolenga kitokee kinachotokea. Yaani wameamua sisi kutukomoa.... Ili wao wapate

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maajabu, Wanajifanyia mpaka wao wenyewe na ndugu zao makusudi, kwani hata Ndugu zao,marafiki na majirani hawana kazi na ni masikini.
 
Unaishi TZ au nchi nyingine
 
TRA hawaelewi kodi. Inakusanywa kwa kiwango kidogo kidogo na inakua nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…