TRA na imported CARS from SBT Japan

Juma salehe

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
40
Reaction score
16
Kuna taarifa kuwa TRA imeisitisha hii kampuni kuleta magari Tanzania!?
Kuna yoyote aliyetoa gari bandarin. Wiki hii from any company?? Any truth, What is the problem??
 
Tra wana uwezo wa kusitisha magari ya kampuni fulani????(sbt??(
 
Inawezekana maana SBT walifanya uhuni, walileta magari Mengi kisha wwakayaacha bandarini, mtu ukitaka wanakuuzia kwa bei ndogo bila ushuru, ukitaka kulipia ushuru unakutana na amount kubwa ya storage, pia wageni kutoka Zambia, Malawi Congo na kwingine wakinunua gari wanakutana na storage kubwa, wakalalamika sana mpaka ubalozini kwao, Mjapan akakimbilia Nairobi, ndiyo wakaamuliwa magari yote wayalipie ushuru na storage yatolewe na watafute yard leseni ya biashara na wasajiri kampuni! Bandari siyo show room na kufanyia utaperi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…