Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
TANCIS inatoa report gani baada ya kulog hizo document? Kwamba kwa nini haitoi release...au wanataka physical verification?Ni assessment document ya kodi unayotakiwa kulipa Kwa TRA kama umeingiza mzigo kutoka nje ya nchi.
Tancis inasema “Waiting for Commissioner for Domestic Revenue Approval”. Wakati hapohapo inasema”paid” na “assessed”.TANCIS inatoa report gani baada ya kulog hizo document? Kwamba kwa nini haitoi release...au wanataka physical verification?
Tancis inasema “Waiting for Commissioner for Domestic Revenue Approval”. Wakati hapohapo inasema”paid” na “assessed”.
Huu wote ni udhalimu wa ccm, ndio mana hatuitaki imekuwa mstari wa mbele kunyonya raia wake kwa maagizo toka juuMkuu ni kweli. Usumbufu mtupu TRA . Yaani unaingiza ka gari unakalipia ushuru baada ya muda unaitwa income tax unaambiwa na ile faida kama ka laki pia wanakataka waokosi hawa.
Ukisikia tu tumefanya kwa pesa za ndani ujue keshaumizwa mwananchi mnyonge.Huu wote ni udhalimu wa ccm, ndio mana hatuitaki imekuwa mstari wa mbele kunyonya raia wake kwa maagizo toka juu
Na ananyongwa kweli kweliUkisikia tu tumefanya kwa pesa za ndani ujue keshaumizwa mwananchi mnyonge.
Kama ni hivo bora kupeleka mizigo bond, maana kama michezo hiyo inatokea bandarini bas storage lazima itakumalizaMkuu ni kweli. Usumbufu mtupu TRA . Yaani unaingiza ka gari unakalipia ushuru baada ya muda unaitwa income tax unaambiwa na ile faida kama ka laki pia wanakataka waokosi hawa.
Good. Basi waweke mambo hadharani la sivyo mzigo uhifadhiwe LW9 ku avoid storage.Issue hio ipo hivi TANSAD za wale waliotumia TIN Non Business kuingiza mizigo frequently wanazipiga pini ili wakafanyiwe assesment na kulipa returns maana inaonekana watu wengi wanatumia TIN Non Business kufanya shuguli za Business TIN i.e Non Business TIN inaingiza importation kama 20 au 30 ndo hapo lazima upigwe pini
TUNATEKELEZAAAAAAAAAAAA.Ila pia kuna wimbi la kutuma barua za madai ya kodi kwa kampuni na watu binafsi kwa kasi kubwa sana. Huu si uchonganishi wa wazi? Mh Rais kuwa makini, how watu wanadaiwa sasa madeni ya miaka kibao tena kuelekea uchaguzi mkuu?