Kwa iyo ata nikiandika kwamba kuna bucha mita 2 kutoka apa lazima nilipe iyo pesa.Mbona Utaratibu unaeleweka Billboards, Banners Zinalipiwa Ilimaradi ziwe sehemu ambayo watu wanaona. Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.
Ati lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa? sio kwa maendeleo ya wapigaji?Mbona Utaratibu unaeleweka Billboards, Banners Zinalipiwa Ilimaradi ziwe sehemu ambayo watu wanaona. Lipa Kodi kwa Maendeleo ya Taifa.