TRA na kodi zisizolipika wafungue maduka darasa ya kodi

TRA na kodi zisizolipika wafungue maduka darasa ya kodi

king wa kings

Member
Joined
Jun 7, 2023
Posts
65
Reaction score
94
Wadau wafanyabiashara leo nilikuwa Ofisi za TRA mkoa flani kwaajili ya kufunga biashara kutokana na kodi kuwa kubwa na gharama za uendeshaji kuwa kubwa nilijaribu kuongea nao naona wako mbali na hali halisi.

Nilifikia hata kuwaambia hizi tafiti wanazofanya ili kupanga kodi hazina uharisia niliwashauri wafungue maduka darasa yafanye biashara kama kawaida wayatoze kodi kama wengine waone kama yatatoboa wakifanikiwa ndio watajua hali tunayopitia wafanyabiashara.

Nini maoni yenu wadau?
 
Back
Top Bottom