TRA na Machine za VFD, wadau wa ICT na Financial Issues Naombeni mupite hapa

Joined
Feb 12, 2020
Posts
72
Reaction score
87
Wakuu Habari za Majukumu,

Samahani sana Wakuu, Nina shauku ya kufahamu hili:

TRA wanauza machine za VFD na kuwahimiza wafanyabiashara kununua kwaajili ya daily uses, so, ni requaments zipi ambapo developer anazihitaji kuwa nazo ili awe approved na TRA na System yake iweze kutoa huduma kama za VFD hali ya kuwa Machine za TRA ni ghali kulinganisha na System zinazotoa huduma hizo.

Naomba kuwasilisha.

 

Huduma za kusambaza VFD pamoja na kuunganisha mifumo ya Wafanyabiashara inafanyawa na wakala ambaye amahidhinishwa .Hivo tunakushauri tembelea tovuti yetu www.tra.go.tz uweze chagua wakala wa machine hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…