TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

Wenzangu na mimi ndoto za kununua magari zitayeyuka, labda tutafute third hand kwa waswahili wenzetu.
 
Jamani hizi ni chuki binafsi ndio zinaturudisha nyuma....hawa jamaa wameona kwanini weenzetu waendeshe Rangerover Sports nasi tuwe na Baluni tuu...wameamua kuziba kote...huu ni ujinga kuwabana watu binafsi wakati makampuni ya nje yanaongeza mirija yao.
 
hapa 'ujinga' wa Serikali/TRA ni kus set-up malengo lakini badala ya kuwa na strategies za kufikia malengo kwa kupanua wigo wa kodi na kudhibiti kidogo (kikubwa kwa uhalisia) kinachopatikana wanaishia kuimpose sheria za kishetani.
Nchi ina potential kubwa sana na watu wenye uwezo mzuri kiutendaji lakini utashangaa jinsi kikundi kidogo cha watu (wanaofikiri kwa kutumia akili ya mtu wa tatu) walivyoweza kujipenyeza na kukalia karibia nafasi zote za maamuzi!
Matokeo yake hata kama kulikuwa na 4% ya walipa kodi kwa hiari imepungua na sidhani kama inafika 1% ya Watz
 
Mfumo wa TRA kila mwaka unabadilika unazidi kuwabana Wananchi, hizo ni roho mbaya tu za hawa viongozi, wanataka magari waendeshe wao tu
 
jamani amini usiamini mimi leo tu nimetoa kabajaji kangu wamenitwaga bei ya kufa mtu ili lipo na jamaa hawana mchezo hapa hakuna mchezo watanzania tuna haja ya kusema sasa basi
 
Kwa kweli gunzi tunalipata... Ila mi sijaelewa kitu hapa:kwa nini gari mpya ilipe zaidi? si watafanya watu wanunue ,magari ya zamini with CO2 emission na TZ iwe jalala la dunia kama ilivyo india? Hapa nahisi machozi yamesha nilenga. Sasa itakuaje?
 
hapa ndoto zote z kununua gari nimeshaziacha.
boratu nifikirie kitu ingine ya kufanya.
 
TRA kutokutoa elimu ya mambo kama haya ndio yanaleta mianya ya rushwa.Ukitoa rushwa unapigiwa rate ya wakati huo,ukikataa wanakupigia rate ya sasa.
 
Naomba mnisaidie jamani hivi haya makadilio ya tra yanakuwaje kana nanunua n gari used
 
Daaaaaa nasikia maumivu ya uti wa mkongo yakielekea kidogoni....wakuu kama kuna mjuuzi hapa basi anisaidie mimi.
 
Daaaaaa nasikia maumivu ya uti wa mkongo yakielekea kidogoni....wakuu kama kuna mjuuzi hapa basi anisaidie mimi.nimeagiza gaia ya 2002 kwa cif 2150. Nijikusanye ngapi hapo....nahitaji msaada maake jamaa wataipakia jumatano ya tarehe 3 july
 

mkuu,$40,000 kwa toyota premio 2001 model is way too high,hebu cheki hii link

2001 Toyota Premio - all pics, specs, parts and prices
 

hata brand new toyota premio haifiki $40,000......

Toyota Premio New 2013 Model in Japan, import New Japanese car, Dealers, New Premio FL Package
 

ukiangalia vizuri huu mfumo ni mzuri kwa sababu bei za magari wakati mpya ziko wazi,gari yoyote ukitaka kujua value yake wakati mpya utaijua tu,ile habari ya mkaguzi kukadiria ndio ilikuwa mbaya kwasababu anaamua tu yeye kulingana na alivyoamka,mfano wako utatoa bei kubwa kwasababu bei ulioweka [$40,000] kwa 2001 premio sio sahihi....$40,000 hizo ni bei za akina bmw x5......weka bei sahihi ya premio 2001 then tumia hio formulae utaona bei ni nafuu....
 
 
Ivi kweli ntanunua noah mwaka huu? Au nisubiri miaka elfu??.
 
Dah mkuu watu wanatafuta solutions we unasubiri ile kwa watanzania wenzako waloagiza afu wakashindwa kulipia dues zao? Emu tusubiri hiyo auction kama itakua na manufaa
 
Help me with this:
Toyota Alteza
FOB: 2000$
Year of manufacture: 2001
1500cc

calculate gharama za kila kitu hadi lifike mikononi mwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…