Tra na namna wanavyoajiri

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Leo nimechoswa na gazeti la daily news ambalo nilifurahi kukuta ndani kuna tangazo la nafasi za kazi TRA lakini wameweka vigezo kuwa graduates wanaotakiwa ni waliomaliza Bachelor mwaka2011 na wale wa nyuma lazima wawe na kaelimu cha ziada hivi, kweli mimi wa mwaka 2010 kurudi nyuma ndo sistahili kuajiriwa?au hiyo masters au postgraduate ningeitoa wapi wakiwa hawatoi mikopo kwa postgraduate?
 
kaka kupata kazi siku hizi ni kama kuwinda tembo kwa mshale
 
kaka dailynews ya lini natamani niisome kwa kujiridhisha
 
wametangaza nafasi za kazi za vitengo vipi labda sisi graduate wa 2011 tutabahatika.
 

Wewe jaribu,usikate tamaa.Haya matangazo wakati mwingine ni copy and paste tu.Tupa karata yako ndg.Mimi ni graduate wa 2009 lakini nitaomba tu.Kama nimeandikiwa,nitapata tu.
 
Wewe jaribu,usikate tamaa.Haya matangazo wakati mwingine ni copy and paste tu.Tupa karata yako ndg.Mimi ni graduate wa 2009 lakini nitaomba tu.Kama nimeandikiwa,nitapata tu.
siku hizi hata ka umeandikiwa unaweza usipate mana kuna mijitu inan roho ya kutu,jaribuni tu though navofahamu hadi sasa nafasi zina wenyewe mana zimetoka tangu last week leo ndo wamepublish,sikatishi tamaa huo ndo ukweli wenyewe.
 
Af tatizo vyuo vingi hadi leo hii hawajatoa Transcripts kwa waliomaliza 2011, Sijui ndo itakuwaje sasa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…