TRA recently wame-update system yao, sasa kuna kitu kinaitwa Taxpayer Portal. Ni jambo jema ila limekuja na machungu yake.
Ni jambo jema sababu sasa unaweza submit tax audits, fanya VAT returns, SDL, PAYE, etc bila kufika ofisi ya TRA, unaweza assign tax consultant na wewe ukawa unaangalia tu anachofanya kupitia mtandao. Big up kwa sana kwa hilo, tulichelewa sana, I hope siku moja watakuja na review/assessment namna TaxPayer portal inavyosaidia wafanyabiashara, TRA, na CPA za kitaa. Maana sasa CPA holders ndio wamekuwa relevant. Elimu ikitolewa kidogo tu, hawa TAX Consultants tutaanza watafuta kwa tochi.
Jambo jema limekuja na machungu ya kutosha.
Kama ulikuwa na kampuni/biashara ambayo uliamua kuipotezea au basi tu waga hufanyi returns kila mara basi jua kua kuna janga kubwa nyuma yako. Haraka haraka nimekuta kuna SDL ambazo sijawahi zi-file, nikaaamua zi-file, namaliza file nkakuta nadaiwa kodi mil200+ kwa penalties, yani TSh 0 principal SDL payments, ila over TSh 200+ milion. Hii ni kampuni moja ambayo nimesajili 2019 na atleast nimekuwa nalipa Corparate Tax kila mwaka, ila sijawahi sajili mfanyakazi hata mmoja TRA. Nikifikiria kampuni nyingine zenye mlolongo kama huo, nahisi hizi penalties zinafika TSh 1bil +.
Bila tamko lako bwana Alphayo Kidata/Mwigulu Nchemba kama ambavyo mshawahi samehe MotorVehicle License huko nyuma, basi vijana watu wengi wanaenda ingia mgogoro mkubwa sana na TRA. Nadhani mimi personally waniandalia chumba tu Segerea maana Bil 1 sina pa kuipata, sio kesho wala keshokutwa.