TRA na thamani ya magari

Kwamaana hiyo kwa sasa tozo ya gari inachajiwa kama gari mpya? Hatakama ni 1990?
 
Vp kuhusu magari aina ya mazda.nimeiona moja verisa.naomba maelezo kwa wanaoyafaham.kabla sijakurupuka,maana sioni watu wakiyaagiza sana.
 
Wapunguze Kodi kwenye Magari yanayosaidia Jamii Truck la mchanga kubwa milion 40 kodi tuu kwa Truck la mwaka 2002,Bus bei zinanunulika pia sema kodi ipo juu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…