KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na Singida. Tukiwapigia simu viongozi wetu hawatuskilizi, na muda mwingi hawapokei.
Sasa inaonekana hata kodi huenda hawalipi. Huwa wanatukata pesa nyingi wanadai wamelipa kodi, bila shaka ni uongo, angalieni na uhalali wao wa kuishi nchini maana tumejaribu mpaka kumshirikisha mbunge wetu wa Manyoni ila hakuna majibu ya kueleweka.