Kama alikuwa analipwa atoe taarifa za nini? Makato makubwa?Kwanini hukutoa taarifa hii kipindi unalipwa?
Kuhusu uhamiaji Haram je inamaana kayaona hayo baada kuanza kukatwa?Kama alikuwa analipwa atoe taarifa za nini? Makato makubwa?
Poleni sana mkuuNdugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na Singida. Tukiwapigia simu viongozi wetu hawatuskilizi, na muda mwingi hawapokei.
Sasa inaonekana hata kodi huenda hawalipi. Huwa wanatukata pesa nyingi wanadai wamelipa kodi, bila shaka ni uongo, angalieni na uhalali wao wa kuishi nchini maana tumejaribu mpaka kumshirikisha mbunge wetu wa Manyoni ila hakuna majibu ya kueleweka.
Kwa hiyo Uhamiaji na TRA watakusaidia kupata malipo yenu?Ndugu zangu TRA, Kuna kampuni inaitwa DMA ipo dodoma na makao makuu yapo Dar es salaam. Hawa kwanza ni matapeli kutoka Zimbabwe, wametufanyisha kazi na hawajatulipa toka mwezi wa tatu na mikataba yetu ilimalizika tangu mwezi wa tano. Tupo wat zaidi ya 300 kwenye mikoa ya Dodoma, Manyara na Singida. Tukiwapigia simu viongozi wetu hawatuskilizi, na muda mwingi hawapokei.
Sasa inaonekana hata kodi huenda hawalipi. Huwa wanatukata pesa nyingi wanadai wamelipa kodi, bila shaka ni uongo, angalieni na uhalali wao wa kuishi nchini maana tumejaribu mpaka kumshirikisha mbunge wetu wa Manyoni ila hakuna majibu ya kueleweka.
Hatkulipwa tangu mwezi wa tatu, mikaba imeisha mwezi mei. Tukiwatafuta hata simu hawashiki,Poleni sana mkuu
Umesema hamjalipwa tangu mikataba yenu ilipomalizika mwezi wa tano? Hizo kodi huwa mnakatwa kwenye malipo yepi?