Made aw kubofya
Member
- May 8, 2012
- 56
- 12
Izi ni kodi ambazo zinakusanywa bila ya kuwa na mantiki
Mtu anaenda sajili kwa kutumia fire extinguisher ya kuazima
Afterall ata gari ikiungua wao hawa usiki
Umechukua hatua kuhakikisha kama hayo malipo ni halali au ukiambiwa lipa unalipa tu? Kawaida viwango vya kodi au ushuru vikipanda vinatangazwa rasmi sasa hilo ongezeko limetangazwa lini na nani?halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
Umechukua hatua kuhakikisha kama hayo malipo ni halali au ukiambiwa lipa unalipa tu? Kawaida viwango vya kodi au ushuru vikipanda vinatangazwa rasmi sasa hilo ongezeko limetangazwa lini na nani?
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
Na fire extinguisher???au hivihivi kavukavu??nijuze maana hapo....niwizi kama kibaka anavyokupiga roba hakuna tofauti:spy::spy::spy::spy::spy::spy::spy::spy::doh::doh::doh::doh::nono::nono::nono::nono::nono::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::rip::rip:CCM😛ainkiller:halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
Na fire extinguisher???au hivihivi kavukavu??nijuze maana hapo....niwizi kama kibaka anavyokupiga roba hakuna tofauti:spy::spy::spy::spy::spy::spy::spy::spy::doh::doh::doh::doh::nono::nono::nono::nono::nono::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::rip::rip:CCM😛ainkiller:
cc 0-500 Tshs. 10,000.00
cc 501-1500 Tshs. 20,000.00
cc1501-2500 Tshs. 30,000.00
cc2501-kuendelea Tshs. 40,000.00
MPOOOOOOOOOOOOO, HIVI KODI HII KWELI SERIKALI ILISHINDWA HATA KUIFICHAFICHA HUMOHUMO NDANI YA STICKER YA ROAD LICENSE KWA KUSEMA TUU IMEPANDA BILA KUFANYA UPUUZI HUU?
halafu hiyo fire sticker yenyewe wamepandisha bei mpaka basi, yaani kutoka elfu 3 hadi elfu 40, loh! au nimeibiwa wakuu?
Jamani haina haja kujiumiza kichwa hapa, huu ni ubabe tu wa serekali yetu, ni kuwa hawana hela sasa hivi, wanahitaji pesa za haraka haraka kuendeshea serekali ndio maana wameibukia huku, inauma sana ila ndio matunda ya kuichagua hakuna cha kufanya tena labda nasema tena labda! kutokee mabadiliko 2015.
Wakipata pesa wanazohitaji watapotea na hutaona tena ujinga huu pengine hata kabla ya Disemba mwaka huu.
Mkuu una uhakika na hizo categories? manake ya kwangu iko kwenye category ya cc 501-1500 lakini wamenicharge elfu 40, hebu nihakikishie nikaseme nao mkuu