Mkuu unajua unachosema hapo kwa red au unaleta siasa za ushabiki?
Hao unaowapigia debe (in blue) hawakuwemo bungeni wakati sheria zinapitishwa?
Wewe umeona kuna siasa hapo kwenye maelezo yangu? Kwa taarifa yako mimi sio mshabiki wa siasa, mimi ni mshabiki wa familia yangu na ndugu zangu
samahani kama nimekuelewa vibaya, ila majibu ya comment yako ya kwanza yanafleva ya ushabiki wa kisiasa