Tra ni moja why magari toka zanzibar yakija bara yanalipishwa tena kodi?

Tra ni moja why magari toka zanzibar yakija bara yanalipishwa tena kodi?

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
4,409
Reaction score
6,773
Wadau nnaomba mnisaidie hili.Tanzania ni moja na ina katiba moja ambayo ndo inatumika Bara na Visiwani.Tanzania Ina kusanya Kodi nchi nzima kwa kupitia TRA ambayo ipo kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi hii. Iweje uwezi tumia Gari yenye namba za ZNZ apa Bara?
Iweje unatakiwa ulipe tena Kodi apa Bara ili uweze tumia Gari lililosajiriwa Zanzibar?
Je huku sio kukiuka Katiba?Je apa Serikali kupitia TRA aiwanyonyi Raia kimakusudi?
Wadau nisaidieni
 
Zanzibar ni Nchi na wana Katiba yao, hawafuati katiba ya Muungano ndio maana Zanzibar kuna Serikali ya mseto.
 
na pia zanzibar wana sheria zao za kodi ambazo inawezekana hazifanani na za muungano.
siyo kila kitu kinachohusu znz kipo kwenye muungano.
 
Back
Top Bottom