Sababu izo zote ni documents za Serikali na zinatolewa na wao wenyewe na zote tumetia fingerprintsKilele9
Wizara ya Mambo ya ndani, uhamiaji, Passport, driving license, zitambulike kama vibali vya ukweli kupata laini ya simu, zoezi liwe endelevu, sababu NIDA wanasuasua.
Tunakosea kuwaadhibu wananchi kwa makosa ta NIDA. Hatutendi haki. Tujikite kwenye haki, fairness, tukizingatia uwezo wa taasisi zetu kutoa huduma.
Kilele9

Sio hau tu yaani kunaViongozi na wataalamu wa TRA, TCRA na NIDA shirikianeni msiwe kama mpo nchi tofauti. Inavyoonekana hamuishauri serikali ipasavyo kwa kutokushirikiana kwenu.
Serikali inapata kiasi kikubwa cha fedha kama kodi kupitia miamala inayofanyika kupitia mitandao ya simu. Kufungwa kwa laini za simu hata kwa siku moja tu nina imani serikali itapoteza mapato yake.
Kuandikisha uraia na kununua line za simu ni mambo endelevu sioni sababu ya kuwapa wananchi taharuki ya kukimbizana na hiyo tarehe (20/01/2020).
Taharuki hiyo inaweza kutumiwa na matapeli kuharibu zoezi lote.