Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Unapokea msharahara kiasi Gani?Afadhali muache kuvunja bei.
Manake hamna watu mnaharibu bei kama watu wa online , yaani hamfikiriagi kabisa running costs.
Mama kazia hapo hapo.
Wametukosea sanaTRA wangejikita kuishauri Serikali kwenye matumizi yao yawe value for money sio kila kukicha wanawaza kuongeza kodi ambayo baadae unasikia tena CAG anatoa taarifa tofauti wao huwa hawawazi kuwakomboa Watanzania ni kuwanyonga kila kukicha nilipe Kodi ya Truck zaidi ya 40m kulitangaza kuliuza mnataka pesa nikiliuza tena mnataka kodi kutoka kwenye matzo huo si unyama kabisa huo mbona Nchi zingine hawana hizi kodi zenu kandamizi..
TRA hawapendi kuona tunalipa hizi kodi wanatamani kutuona tunakwepa kodi ndio maana kila kukicha wanawaza kuweka kodi za hovyo hovyo tu..Wametukosea sana
Nadhani lengo ni wale ambao hawajajisajili TRA lakini wana magodown wanauza bodhaa zao online.Hili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.
Mimi nilipie tangazo la biashara yangu wakati kwenye hiyo Hela ya kulipa mnachukuwa Kodi yenu.
Mimi ninunue MB kuingia mtandaoni wakati mnachukuwa Kodi kwenye kampuni husika kutokana na MB nilizonunua.
Mimi ninunue dakaki kwajili ya kuongea na mteja wangu wakati huo mnachukuwa Kodi kutoka Kwa mtandao husika.
Leo mnataka nilipe Kodi ya kila mwezi yaani Kwa mwaka mnapanga naingiza milion 4. Bila kufanya research yoyote.
Hivi mnaujua mtaa vizuri yaani namaanisha huku mtaani mnakujua vizuri yaani namaanisha hivi haya Maisha ya mtaani mnayajua wakuu?
Nifanye mishe mishe za mtaa ili nipate Hela ya kufungua duka ambalo mtakuja kudai Kodi zenu.
Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Kodi ya pango la nyumba ambayo mnachukuwa Kodi yenu kila mwaka ya jengo.
Nifanye mishe mishe za mtaa nilipe Hela ya Ada Kwa madogo ambayo mnachukuwa Kodi kwenye hizo shule.
Nifanye mishe mishe nipate nauli nauli ye kwenda kuonana Na mteja nauli ambayo italipa Kodi ya Chombo cha Moto ninachopanda Kwa usafiri.
Leo hii mmeamua kukaa Meza moja na kuona hili swala la Hawa wanyonge lazima liende Tu.
Niseme ukweli Tu hili Jambo ni letu Sisi wanaume ndio ambalo limetulenga mana kila kitu ni chetu sisi hapa duniani na HII DUNIA HAINA HURUMA KWA MWANAUME HATA KIDOGO.
Okay tumelipokea hili jambo lenu lakini hii mtalipa Kwa namna yoyote.Siku moja mmoja wenu atakapoachishwa Kazi ndio ataelewa nini maana ya MTAA.
#KIDUMUCHAMATAWALA.
#FidQsiriyamtungi
Kodi is inevitable haikwepekiHili swala la kulipa Kodi mtandaoni halijakaa Sawa kabisa.

Sizani kama ni pesa ya baiskeli sababu hili Jambo ni endelevuPesa yabaiskel itarudi vipi mkuu
Siasa ina Rangi mbili Tu.Kila mtanzania na atafikiwa kwa muda wake ila tutalia kilio kimoja. Vijana wengi tulikuwa na ile kauli "Mimi na siasa wapi na wapi" ila kwasasa kila kijana ataijua na kuielewa siasa.