TRA: Nyumba za nyasi hazitatozwa

Hazitatozwa kodi kwa utaratibu Upi ?

Na mabanda yaliyo vuta umeme yanaingia kwenye Category hiyo ?
 
Na akiupgrade inakuaje...na mtu wa mjini akiezeka k a Nyasu atatozwa au ataachwa...if kigezo ni Nyasu hoteli zilizoezekwa kwa Nyasu itakuaje...
 
Haaahaaa daaaaa kichekesho Cha Karne Hivi Hawa makaburu weusi CCM wanatuchukuliaje wananchi wadau?

Hizo nyumba za nyasi na makuti mita zao za mbao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…