TRA pale PSSSF Tower mnaharibu Interns na walinzi, wamekuwa vishoka

TRA pale PSSSF Tower mnaharibu Interns na walinzi, wamekuwa vishoka

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Juzi kati nilienda kuulizia utaratibu wa kupata leseni ya udereva pale TRA PSSSF Tower karibu na Mlimani, ila nilichokiona nilishangaa sana.

Hii sio mara ya kwanza kila nikienda kuna jamaa mlinzi yupo pale ndani chumba namba 2 ni zaidi ya winga. Wajuzi wa mambo watanilewa namanisha nini.

Kuna Interns wapo kuanzia reception mpaka kule namba chumba namba 2. Naomba hawa wanafunzi wawe chini ya usimamizi wajifunze sio kuchezea simu wala kutumwa chai na kuomba hela ya chai.

Mbaya zaidi hawajaelwa process vizuri mf mimi niliomba kujua utaratibu wa kupata leseni ya udereva alielezea juu kwa juu mpaka nikaelekezwa na jamaa ambae anatega hapo hapo dirishani kusubiri wateja apate chochote kitu ambaye sio mfanyakazi.
 
Back
Top Bottom